JINSI MAJASUSI WALIVYOANZISHA MATUMIZI YA
VIDONGE,
BY PETRO TUMAINI
![]() |
Vidonge ni sumu si salama kwa afya vikilinganisha na dawa za asili zilizotumika tokea zamani kabla ya madawa ya kisasa |
Miaka ya
1930, Morris A. Bealle aliyekuwa mhariri wa zamani gazeti la Washington Times and Herald nchini marekani,alikuwa msimamizi wa gazeti maarufu ambalo
liliingiza mapato makubwa sana
kwa matangazo ya Kampuni ya nishati kila wiki.
Mapato
yaliyokuwa yakikusanywa mwisho wa mwezi, kampuni hiyo ilionekana kama tegemeo
kubwa la gazeti hilo .
Siku
moja habari za malalamiko ya wananchi dhidi ya huduma mbovu za kumpuni hiyo
yalianza kuandikwa na gazeti hilo .
Bealle, alipata vitisho,vikali kutoka kwa kampuni
iliyotengeneza matangazo ya kampuni hiyo ya nishati kuambiwa kama ataendelea
kuandika habari “zilizo nje ya mfumo” wa
kampuni hiyo, si kwamba ataondolewa katika mkataba wa matangazo tu, bali
kusitishwa katika huduma za kampuni ya gesi na ya huduma za simu.
Hapo
ndipo macho ya Bealle yalifunguka kuhusu “uhuru wa vyombo vya habari”,hatimaye
akaacha kazi kwasababu alikuwa na uwezo mzuri kiuchumi.
Kupitia
uzoefu wake kitaaluma aliamua kufanya utafiti kuhusu uhuru wa vyombo vya habari
na kuja na tafiti kuu mbili
1. Habari kuhusu Vidonge (The Drug Story)
2. Nyumba ya Rokifila. (House of Rockefeller)
Pamoja
na uzoefu katika ulimwengu wa uhariri
hakuweza kuandika mafunuo yake mpaka alipoanzisha kampuni yake binafsi iliyoitwa
Idara ya uchapishaji –Kolombia, Washinton
D.C. ,mwaka 1949.
Pamoja
na kitabu cha Habari kuhusu Vidonge
kuwa katabu cha pekee katika masuala ya Siasa na Afya nchini Marekni, kamwe hakijawahi kupelekwa katika maktaba
kuu za vitabu wala kuzungumziwa katika magazeti ya marekani.
Kwa
upande wa uuzaji , kitabu hiki pekee kiliuzwa kwa njia ya mizigo
iliyosafirishwa kupitia shirika la Posta. Pamoja na hayo , kitabu hiki baada ya
kuingia sokoni katika toleo lake la 33 kilikuwa kikitoka katika lebo tofauti
kama vile Biworld Publishers, Orem na Utah
Baelle
alibainisha kuwa kwa miaka 1960, biashara iliyoingiza faida asilimia sita (6%), ilikuwa ni biashara kubwa sana .
KAMPUNI
YA JAMII YA SIRI (MAJASUSI) ILIYOITWA NGOME YA MADAWA YA ROKIFILA (The Rockefeller Drug Empire) iliingiza faida Dolla za marekani Milioni 23.4 baada
ya kulipa Kodi katika mali
za thamani ya Dola milioni 43.1. sawa na asilimia hamsini na nne (54%) .
Kampuni ya Skwibu (Squib) amayo pia iko
chini ya Rokifila (Kampuni ya majasusi)
iliingiza faida ambayo si asilimia 6 bali asilimia 576 (576%) katika thamani
Faida hii ilitokana na juhudi za Daktari mkuu wa Upasuaji , ofisi ya Jemedari wa jeshi pamoja na
Taasisi ya Madawa Na Upareshei ya Navi (Navy Bureau of Medicine and surgery) Taasisi
hizi hasikuwa tu zikihimiza wattu
watumie vidonge, lakini walilazimisha
sumu za vidonge katika damu za Wanajeshu wa Marekani , wasafiri wa
majini na mabaharia.
“Je ni ajabu , kwamba Rokifila, na vitengo
vyao vya vya biashara (mbovu) ya vyakula na madawa, Jumuiya ya Afya Ulaya,
Taasisi Kuu ya Biashara, Taasisi ya
Madawa ya Navi, na maelfu ya maafisa wa dawa nchi nzima , kuunganika na kupinga
aina zote za tiba zipingazo matumizi ya vidonge?” Aliuliza baelle.
Baelle aliendelea kubainisha kwamba katika
kipindi hicho “Ropoti ya mwisho wa mwaka ya Faundesheni ya Rokifila”,
ilionyehsa zawadi (tuzo) ilizotoa katika vyuo na taasisi za umma katika miaka
44 iliyopita, thamani yake ilizidi dola nusu bilioni.
Vyuo hivi vilianza kufundisha ujuzi wa
kutumia madawa ambayo Famasi za Rokifila zilihitaji ufundishwe. Tofauti na hapo hukukuwa na tuzo, kama vile vyuo visivyo vya kawaida 30 katika jumuiya ya
Ulaya vilivyokosa tuzo kwa kutofundihsa tiba zilizoegemea katika utumiaji wa
vidonge.
Baadhi
ya vyuo maarufu vilivyopewa fedha na kampuni hii ya Kijasusi ili kuhimiza
utumiaji wa madawa ya kisasa ni:
· Havadi, pamoja na shule yake ya Tiba ambayo
maarufu sana ,
ilikuwa imepokea Dola Milioni 8.7 kutoka Taasisi ya Fedha za Madawa ya Rokifila.(Rockefeller’s
Drug Trust Money )
· Yale, chuo kilipewa Dola Milioni 7.9
· John
Hopkinss, kilipokea Dola Milioni 10.4
· Chuo
Kikuu cha Washintoni huko Mt.Louis, kilipewa Dolla Milioni 2.8
· Chuo
Kikuu cha New York Kolombia
, kilipewa Dola Milioni 5.4
· Chuo
Kikuu cha Korneli , kilipokea
Dolla Milioni 1.7 n.k
Pamoja
na “kugawa” vitita vya fedha kwa vyuo vilivyosambaza propaganda za utumiaji wa vidonge , madhumuni ya Rokifilla
yaliendelea kukua katika mtandao wa dunia nzima kuliko mtu yeyote awezavyo
kugunda.
Kwa
zaidi ya miaka 30, ilikuwa ni kiasi cha kutosha kwa Baelle kugundua Makusudio yaliyoanzishwa na Rokifila, na kuendelezwa
katika Kampuni kubwa isiyoweza kufikiriwa namwanadam.
Rokifila inamiliki jumuiya kubwa ya
kuzalisha madawa ya kisasa Duniani kote, na hutumia madhumuni yao
mengine yote kukuza uuzaji wa madawa. Ukweli kwamba zaidi ya aina 12,000 za
madawa tofauti (ya kisasa) katika soko ni sumu, si wazo la wazalishaji wa
madawa...
Itaendelea
No comments:
Post a Comment